YES-VICOBA
Bagamoyo- Tanzania
Note : Tupo kwa ajiri ya jamii

26

Mikoa iliyofikiwa

16

Idadi ya vikundi

10000

Wanachama

450

Milioni mikopo(2023-2025)
Kuhusu YES-VICOBA

YES- VICOBA ni mradi endelevu uliobuniwa na unaosimamiwa na Happy Welfare Foundation, taasisi iliyosajiliwa na serikali kwa namba 00NGO/R/4700 kwa lengo la kusaidia wananchi kuimarisha uchumi wao. Ndani ya mradi huu kuna YES-VICOBA biashara,elimu na viwanja.

KARIBU SANA
Miradi Yetu
Kusaidia Wahitaji

Kusaidia wahitaji wakiwepo watoto yatima.

Mikopo

Mikopo ya kuanzisha na kuboresha biashara,Ada za shule.

Faraja

Mkono wa Faraja msiba.

Viwanja

Viwanja kwa wanachama.

Wasiliana nasi

Tupo kukusikiliza

Tupigie

0747 746665

Baruapepe

Gusa Kutuma